Friday 8 March 2013

baada ya Musalia Mudavadi kukubali kushundwa hichi ndicho alichosema.

nimewapigia simu uhuru na raila na kuwapa pongezi, ntao shukrani kwa wakenya wote kutoa ushirikiaono, chama changu kitatumia miaka mitano ijayo kuimarisha chama kwa sasa tumepata 21 mp's na 4 senetor na nitakuwa fanya kazi na yoyote atakeye ibuka mshindi. naomba uhuru na raila wasiruhusu wafuasi wao kuondoa amani.
aaa

Add caption

No comments:

Post a Comment