nimewapigia simu uhuru na raila na kuwapa pongezi, ntao shukrani kwa wakenya wote kutoa ushirikiaono, chama changu kitatumia miaka mitano ijayo kuimarisha chama kwa sasa tumepata 21 mp's na 4 senetor na nitakuwa fanya kazi na yoyote atakeye ibuka mshindi. naomba uhuru na raila wasiruhusu wafuasi wao kuondoa amani.
aaa
|
Add caption |